Meseji nzito za mapenzi
- 1).Akupendae kweli, atahifadhi heshima yako kabla ya penzi lako!Sms za mapenzi
- 2)Weupe
wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe
na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimi ni wako sikuachi
asilani.
- 3) Mapenz c pombe lkn yanalewesha,wala c dawa
lkn yanaponyesha,wala c maradhi lkn yanaua,wala c kifo lkn
yanaliza,wala si katuni lkn yanafurahisha,wala c fimbo lkn yanaumiza.Ni
mimi tu mwenye mapenzi ya kweli kwako,Nipende daima mpenzi!!
- 4)Hakika
nakwambia mpenzi wanaokutamani ni wengi lakini ni mimi tu mwenye hayo
mapenzi ya kweli.ziba masikio na usiwasikilize,nia yao
watugombanishe.Nipende daima laaziz wangu!!Sms 3:Usiku wa leo uwe ni
wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet
wangu. USIKU MWEMA
- 5)Fungua macho yako uone kopa za mahaba
ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu
yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi
wangu, Nakutakia usiku mwema
- 6):Utamu wako ni zaidi ya asali, ni
wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama
ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"
- 7)Moyo wangu umehifadhi
hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA
WANGU"
- 8) Mpenzi nimekumiss jamani, sipati meseji wala simu
sijui kwanini, nikikumbuka tunayofanyaga kitandani, natamani ungekuwa
nami pembeni nakunipa mahaba yasiyo kifani, nakupenda si utani hani
- 9)Sijui
nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo
kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye
ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee
nayekupenda hapa duniani!
- 10) Kwa kawaida busu la mafanikio
hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni, busu la upendo
hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu
ili ulale kwa raha sweet ?
- 11):Mpenzi kila tunapokuwa chumbani
huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi
yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
- 12):Wewe
ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la
kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
- 13)
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha
adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms
hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?
- 14) USikimbie nyuki
ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali,usizidishe siki akawa
mkali,Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.Je,unaendeleaje sakafu
wa moyo wangu?
- 15)Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi
na umechoka na kazi, tafadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate
maji kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula
kukuandalia lakini siku haijawadia, nakupenda dear!
No comments:
Post a Comment