Monday, March 25, 2013

KUNYONYANA



Kitu chengine kinachoengeza ashqi kabla ya kufanya tendo,na hata mume na mke wakiwa ndani ya tendo la ndoa lenyewe ni kunyonyana

Mwanamme inambidi kumkaribia mkewe na kumkumbatia ,kumpakata ,kumbeba n.k lakini lililo muhimu sana ni kumpiga busu katika maeneo mbalimbali ya mwili wake na hasa busu la kinywa ,kasha kumyonya ulimi mke nae anatakiwa kujibu kwa ksi ileile ya mumewe pengine hata kumzidi
Hahahahahaha inapendeza mukawa na pipio then mukawa munabadilisha katika ndimi zenu kuipeleka huku na huku

Samabmba na hayo wanatakiwa wakati wakifanya hayo huku teari taratibu wanavuana nguo yaani mke anamvua mume na mume anamvua mke kuanzia za stara mpaka chupi na kupakana mafuta laini kwa ajili ya kulainisha ngozi zao

Wanasaikolojia wanapendekeza mke kuvaa nguo nyepesi zinazoshikana na mwili ili ssa kuweza kumtia mshawasha mumewe ni vizuri akavaa chipi nyembembe inayomvutia mumewe

Mume atamnyonya kila sehemu ya mwili wake kuanzia utosini hadi unyayoni lakini sehemu ambazo mke zitamtia ashqi basi hapo mume anatakiwa atulie na kupashughulikia na kupanyonya au kuchezea zaidi .maeneo kama ya shingo,kitovu,matakoni.maziwa na nyenginezo

Aidha wanawake hujiskoa raha kurambwa na kupapaswa mapaja .kushikwa makalio ,kupapaswa shanga na kushikwa kiunoni na mgongoni

N.B
Kitendo cha kuchezeana kinaweza kuendelea hata wakati wa tendo lenyewe la kuingiliana .hakiishiii wakati wa kujitayarisha tu .hivyo wanandoa munaweza kucheana na hata kunyonya wakati mkiendelea kujamiiiana

No comments:

Post a Comment