Watafiti nchini Denmark wamesema mazoezi magumu kwa mwanamke mwenye
mimba changa yanaweza yakamsababishia mjamzito athari ya mimba
kuharibika mara dufu.
Pia watafiti hao wamegundua kwamba kukimbia
kwa taratibu yaani jogging, michezo wa mpira na michezo ya kutumia
racket yote inachangia hatari ya kuharibika kwa mimba sawa na kufanya
mazoezi ya masaa saba kwa wiki.
Hata hivyo serikali ya Denmark inashauri mjamzito kufanya mazoezi kama kanauni ya lazima wakati wote wa kipindi cha ujauzito.
No comments:
Post a Comment