1-Simama
wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako
hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa
muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia
kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na
kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya
tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap,
kugandisha n.k) mpaka utakapo hizi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani
vibrating).
Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali,
simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya
kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele
uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya
hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka
seheumu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako
yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi
kulia(ulipoanzia).
Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena
ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea
inategemea zaidi na bidii yako.
Baada ya kuzoea hatua
hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako
kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi(lalia tumbo), ubavu, chutama, piga
magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno
kizoee......hey alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka
kitakapo kubali/zoea
No comments:
Post a Comment