UNAPOKUWA KATIKA UHUSIANO WA KIMAPENZI, KWA HAKIKA UNAPASWA KUULINDA UHUSIANO WAKO KWA GHARAMA YOYOTE.
WATAALAMU
WA MAMBO YA MAHUSIANO WANAAMINI UJUMBE WA MAPENZI HUDUMISHA PENZI KWA
KIASI KIKUBWA SANA. LEO NIMEKUANDALIA MESEJI KALI ZA KIMAPENZI KWA AJILI
YA KUMTUMIA UMPENDAYE, LENGO LIKIWA NI KUBORESHA PENZI LAKO. KAZI KWAKO KUCHAGUA MOJA NA KUMTUMIA LAHAZIZI WAKO!
in it and you will get the interest!
*****
Wewe
pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha
yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
*****
If
I could die early I would ask God if I could be your guardian angel, so
I could wrap my wings around you and embraces you whenever you feel
alone...
*****
Najua
kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku
hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi…
*****
It is hard to talk when your in love because when I look into your beautiful I get my breath taken away…
*****
Midomo
yako inanichanganya, macho yako yananivutia, umbo lako linaniacha hoi,
wewe ni wangu wa ubani siwezi kudanganywa na walaghai…
*****
Penzi
langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za
maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear…
*****
R. for red , red for blood , blood for heart, heart for love, love for you, you for me, me is you , I love you ma’ dear!
*****
Hiki ni kipindi muhimu kwetu, kuoneshana mapenzi ya kweli, wanafiki wabaki kimya kwa aibu zao…
*****
I’ll drop a tear drop into the ocean n the day I find that tear drop is the day
I stop loving u!
*****
Usiku
wa jana ulikuwa wa aina yake, ulinipa mambo matamu yasiyo ya kawaida,
ulinifurahisha sana mpenzi wangu, ulidhihirisha kuwa wewe ni kidume
uliyeubwa kwa ajili yangu..
*****
Baby I have an addiction problem, people say I should go to rehab but I
always tell them I don’t wanna go cause I’m addicted to ... YOU
*****
Kutokana
na penzi la siku ya kwanza kwako, bado ninatamani kuendelea kujificha
katika moyo wako, wewe ni taa ya maisha yangu, nahitaji uwe nami siku
zote, nami nitakuwa nawe, hadi kifo kitapotutenganisha! Hii ni ahadi
ambayo sitaivunja hadi siku naingia kabuni, tupendane mpenzi…
No comments:
Post a Comment