Thursday, September 26, 2013

Je? Ndoa huongeza muda wa kuishi?

         Habari ndugu msomaji na mfuatiliaji wa makala motomoto ndani ya blog hii.Leo katika kuperuzi peruzi kwangu kwenye tovuti nimekutana na mada hii,nikaona sio mbaya kushare na wadau wangu wa nguvu mnaonifuatilia.
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa huchangia mabadiriko yake kifikira na hata kiuchumi hivyo kwa njia moja au nyingine ndio sababu ya wale walio kwenye ndoa kuishi kwa muda mrefu.
Wakati ndoa huchangia kuongea muda wa kuishi na faida nyingine nyingi kwenye afya ya binadamu, tafiti zinaonesha kuwa wale walio achika / tengana au wajane umri wao wa kuishi huwa mfupi kuliko wale wasioolewa /oa kabisa.

No comments:

Post a Comment