Friday, September 27, 2013

Oestradiol: Homoni zinazochochea ngono kwa wanawake

Habari ndugu msomaji na mfuatiliaji wa blog hii,ni muhimu ukashare na rafiki zako habari hii kama nilivyofanya nami katika kutupia macho huku na huko nimeona sio mbaya nikiwaletea wadau.
  • Wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana mwamko mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye kiwango kidogo cha vichocheo hivyo.

Ni ajabu, wala si jambo la kawaida kwa wanawake walio wengi kujikuta katika matamanio, kiasi cha kujikuta wakilazimika kushiriki tendo la ndoa.Hata hivyo, homoni kadhaa zilizoko katika miili ya wengine zinawachochea kujitumbukiza kwenye tendo hilo.Utafiti wa baadhi ya wanasayansi umeonyesha kuwa baadhi yao wana kiwango kikubwa cha vichocheo mwili kinachoweza kushawishika kuwa na mpenzi wa nje au kumchoka haraka mwenza wake baada ya kuishi naye kwa kipindi fulani.Wanasayansi hao wamefanya uchunguzi na kugundua kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana mwamko mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye kiwango kidogo cha vichocheo hivyo.Vichocheo hivi aina ya oestradiol (oestrogen) ni vile  vinavyotumika katika kuzalisha mayai ya uzazi wa mwanamke. Pia, vichocheo hivyo ni vile ambavyo humpa mwanamke mwamko wa tendo la ndoa.Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Saikolojia nchini Uingereza walifanya utafiti kuhusu uhusiano uliopo kati ya vichocheo na tabia za watu na kubaini kuwa kiwango cha vichocheo  huweza kuelezea tabia ya mwanamke ikiwamo kumsababisha kuwa na tamaa za mwili zaidi tofauti na wanawake wengine.Wanasayansi hao, Dk Kristina Durante na Norm Li walitoa ushahidi wa utafiti wao kuwa mfumo wa kisaikolojia unachangia kwa kiasi kikubwa katika mwamko wa tendo la ndoa na tabia kwa wanawake.Wanawake  52 wenye umri wa kati ya miaka 17 na 30, wote wanafunzi wa vyuo vikuu walishiriki katika utafiti huo  na kuambiwa wasitumie njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa sababu njia hizo huongeza vichocheo mwilini.Kwa upande wao, watafiti walipima kiwango cha homoni hizo kwa wanawake wote na walipewa maswali ya kujibu yaliyohusu mienendo yao ya kimapenzi, kutosheka na wenzao pamoja na uwezo wa kuvumilia kutofanya tendo la ndoa kwa kipindi fulani.Pia, washiriki hao walitakiwa kujibu maswali maalumu ambayo yanapima uwezekano wa washiriki hao kuwasaliti wenzao wao.Mwishowe, watafiti hao walibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo vya oestradiol wanapenda utani, wanapenda kupigana busu na ni rahisi kupata mwenza mpya wa kudumu wakati wowote.Matokeo yetu yalibaini kuwa, wanawake wenye kiwango kikubwa cha rutuba za uzazi hawatosheki na mwenza mmoja hasa waliyeishi naye kwa muda mrefu. Wana uwezo wa kutafuta mwenza mwingine anayewatosheleza,” alieleza Dk Durante.

Thursday, September 26, 2013

Faida 17 za kujamiana.


Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.

1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupunguza uwezekano wa kupata shambulio la moyo (heart attack) na kiharusi. Uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi ni mdogo sana, ni asilimia 1 tu ya vifo vyote vinavyotokana na mshtuko wa moyo ndivyo uhusishwa na kujamiana. Aidha, sababu nyingine inayoongeza uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa ambapo huchangia karibu asilimia 75 ya vifo vinavyotokana na kujamiana, na karibu asilimia 90 ya vifo hivi hutokea kwa wanaume wazee. Uwezekano wa kupata shambulio la moyo wakati wa kujamiana huongezeka ikiwa mtu ana miaka zaidi ya 50, uzito uliopitiliza na matatizo ya afya. Hii ni sawa na kusema unaanza kufanya mazoezi mazito kwa ghafla wakati mwili na umri haviruhusu.
2. Huongeza ukakamavu wa mifupa: Wanawake waliokoma kupata hedhi (menopausal women) ambao pia hujamiana angalau mara mbili kwa wiki wana kiwango kikubwa cha homoni ya oestrogen mara mbili zaidi ya wale ambao hawajamiani. Homoni hii husaidia kulinda mifupa na kwa wanawake waliokoma kupata hedhi wakosapo homoni hii hupata ugonjwa wa mifupa ujulikanao kama osteoporosis.

3.Hupunguza msongo wa mawazo: Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono. Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika, muscle relaxant), na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana. Watu wanaojamiana huweza kuhimili vizuri msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawafanyi hivyo. Aidha watu wanaojamiana huwa na kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu kuliko wale wasiojamiana. Pia kuwepo kwa viasili vyaprostaglandins katika shahawa husaidia kupunguza msongo wa mawazo. Viasili hivi hunyonywa na sehemu za siri za mwanamke. Shahawa pia zina madini ya zinc, calcium, potassium, fructose na protini ambavyo vyote ni muhimu kwa afya njema.
4. Hupunguza maumivu: Kufikia kilele (orgasm) wakati wa kujamiana ni tiba ya maumivu. Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, kipandauso, baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi (post menopausal syndrome symptom).

5. H

upunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume: Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume (prostate cancer) hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana. Aidha kutoa shahawa wakati wa kujamiana mara 21 au zaidi kwa mwezi kunahusishwa na uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume wenye umri mkubwa ikilinganishwa na kutoa shahawa mara 4 mpaka 7 kwa mwezi.
6. H

uongeza uwezo wa kunusa: Baada ya kujamiana, kiwango cha homoni ya prolactin huongezeka, ambayo hufanya seli za ubongo (brain stem cells) kutengeneza seli mpya katika sehemu inayohusika kunusa na kutambua harufu (brain olfactory bulb).
7. H

upunguza uzito na kumfanya mtu kuwa na afya njema: Kujamiana ni mazoezi mazuri. Wakati wa kujamiana, mapigo ya moyo huongezeka kutoka wastani 70/dakika mpaka 150/dakika ambayo ni sawa na mtu anayefanya mazoezi kwa kiwango cha juu. Kujamiana huchoma karibu 200 calories sawa na kukimbia dakika 15 katika mashine ya tredmill. Mwanamke anayefika kilele huchoma calories 47 zaidi.
8. H

uongeza kinga ya mwili: Kufanya mapenzi mara moja au mara mbili kwa wiki huongeza kiwango cha seli za kinga aina ya immunoglobulin A kwa robo tatu, na hivyo kumkinga mtu dhidi ya mafua na magonjwa mbalimbali.
9. Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke: Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.
10. H

udhibiti mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida: Wanawake ambao hujamiana angalau mara moja kwa wiki (isipokuwa siku ambazo wako kwenye hedhi) huwa na mzunguko wa hedhi wa kawaida ikilinganishwa na wale ambao hufanya mapenzi kwa nadra au wale ambao hawafanyi kabisa.
11. T

endo la ndoa huongeza hali ya kujiamini: Ikiwa litafanyika baina ya wapendao, na tendo lenyewe likawa la furaha na upendo, kujamiana huongeza kujiamini.
12. H

uongeza ukakamavu katika misuli ya nyonga (pelvic floor muscles): na hivyo kuzuia mwanamke kupata matatizo ya mkojo au ugonjwa wa kibofu cha mkojo. Wanawake ambao wamekoma kupata hedhi, kufanya mapenzi mara kwa mara huondoa tatizo la kusinyaa kwa sehemu za siri za mwanamke (vagina atrophy) na hivyo kumwepusha na maambukizi katika njia cha mkojo (Urinary Tract Infection ).
13. K

ufanya mapenzi huongeza kasi ya mzunguko wa damu mwilini: Unapojamiana na kufikia kilele, mzunguko wa damu huongezeka maradufu, hivyo kuongeza mzunguko wa hewa aina ya oksijeni kwenda kwenye viungo muhimu kama moyo, ubongo na figo hivyo kusaidia kuondoa uchafu na sumu mbalimbali mwilini.
14. H

uongeza hali ya kujithamini au kuthamini mwili wako: Hakuna kitu kizuri kama mtu kutambua ana maumbile mazuri na ya kuvutia, haya yote hupatikana wakati mtu yupo uchi wakati wa kujamiana na mwenza wake kumwambia kwamba ana maumbile mazuri na ya kuvutia, hii huongeza hali ya kujithamini na kujipenda kwa binadamu yoyote.
15. H

usaidia kuishi kwa muda mrefu: Kufanya mapenzi angalau mara mbili kwa wiki hurefusha maisha yako. Kila unapofikia kilele, homoni aina ya DHEA (Dihydroepiandrosterone) hutolewa kwa wingi kutokana na raha ya tendo na kufikia kilele. DHEA huongeza kinga ya mwili, hurekebisha tishu zilizoharibika (hutibu vidonda), huongeza kiwango cha ufanyaji kazi cha ubongo, huiweka ngozi kuwa na afya bora na hupunguza msongo wa mawazo. Kwa hiyo, kuongeza kufikia kilele kuna uwezekano wa kurefusha maisha yako.
16. Kujamiana huongeza upendo na msisimko katika mapenzi, kutokana na kuongezeka kwa homoni ya oxytocin (love hormone), ambayo huleta mshikamano, uaminifu, na unyenyekevu katika uhusiano au kwenye ndoa.
17. H

uongeza uwezo wa kuzaa au kutunga mimba: Mara nyingi watu huuliza kama urefu wa uume una uhusiano wowote na uwezo wa kutunga mimba. Jibu zuri ni hapana! Kufanya mapenzi mara kwa mara huboresha shahawa za mwanamume, huzifanya kuwa katika kiwango kizuri, na kama unataka kupata mtoto, ni bora kufanya mapenzi mara kwa mara sio kutumia shahawa zilizokaa kwa muda wa siku nne. chanzo.

Sababu za wanawake kutumia muda mwingi wawapo shoping.....

    Natumaini umzima ndugu msomaji wa wa blog hii,leo tugusie tu sababu zinazo wafanya wanawake wengi kutumia muda mwingi wawapo shoping tofauti na wanaume,                                                                    Shughuli nzima ya kufanya 'shopping' kwa wanawake ni kama mtu aendaye 'picnic'.
Wafuatiliaji wa tabia na mienendo ya wanawake wamegundua ya kwamba wanawake hufurahia suala la kwenda kufanya manunuzi kama mtu afurahiavyo kwenda shereheni.
Sio kwamba huwa wanafanya tu manunuzi, lakini lazima watenge muda wa kunywa kahawa kidogo, kupata bites za hapa na pale n.k.



Hizi zifuatazo ni tabia kwa uchache tu wazioneshazo kina mama wawapo 'shopping', na ndio ambazo hupoteza sana muda:

1. Wanawake wanapoenda kufanya manunuzi hupendelea kuambatana na mlolongo wa marafiki.

2. Hupenda kugusa hiki mara kile hata kama hawatanunua, na usiombe waingie duka la vipodozi haswa uturi 'perfumes'.

3. Ni wagumu wa kufikia maamuzi ya haraka juu ya kipi wachukue kipi waache, kifupi ni kwamba huwa hawawezi.

4. Wapo makini sana kuchunguza kitu katika kila nyanja 'aspect'...Mara wataangalia rangi, bei, saizi na ni namna gani kitu hicho kitafaa kikiwekwa mwilini au mahali fulani.

5. Mwanamke anapoenda manunuzi sio kwamba anataka kujifurahisha yeye tu kwa kile anachokinunua, mara nyingi atapenda na marafiki zake wakikubali.

6. Hutumia muda mrefu sana kwenye kujaribu, mathalani kama ni nguo basi itavaliwa mara tatu tatu hadi aridhike.

7. Wanawake wanapenda sana kupunguziwa bei 'bargaining', yaani hapa ndio wanapopoteza muda mrefu.

Je? Ndoa huongeza muda wa kuishi?

         Habari ndugu msomaji na mfuatiliaji wa makala motomoto ndani ya blog hii.Leo katika kuperuzi peruzi kwangu kwenye tovuti nimekutana na mada hii,nikaona sio mbaya kushare na wadau wangu wa nguvu mnaonifuatilia.
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa huchangia mabadiriko yake kifikira na hata kiuchumi hivyo kwa njia moja au nyingine ndio sababu ya wale walio kwenye ndoa kuishi kwa muda mrefu.
Wakati ndoa huchangia kuongea muda wa kuishi na faida nyingine nyingi kwenye afya ya binadamu, tafiti zinaonesha kuwa wale walio achika / tengana au wajane umri wao wa kuishi huwa mfupi kuliko wale wasioolewa /oa kabisa.

Tuesday, September 10, 2013

BOSS WANGU ANATAKA KULALA NA MIMI HADI ASUBUHI

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini! 
Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!! 
Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!! 
Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!! 
Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu! 
Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi! 
After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum 
After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............ 
Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!! 
Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!! 
He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!! 
He said good thoughts, u re too emotional! 
He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!

Mambo 10 ya Wanawake

1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

WANAUME WAPENI DOSE YA KUTOSHA WAKE ZENU WAFIKE KILELENI

Nasikitisha na kushangaza,unakutana na Msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze Mapenzi akiwa na Miaka 19 hakuna Mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni...Imagine,anafanya Mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu...Amekuwa Sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro,amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.. Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym,ule Siagi na jibini,dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa..Lakini unapaswa pia kumfanyia Counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu...inataka Moyo...WANAUME:Msiwafanyie hivyo Wasichana,wapeni dozi inayostahili,ukipewa chezo kamua haswa,sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma..Huo sio uanaume..Uanaume kazi..Mnatupa shida tunakuja kuoa Wanawake wamekomaa,hata utumie Mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini... Ukipewa Kazi itendee haki kazi...Kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi...Girls wanapata shida sana,halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote.

MAMBO MATANO YA KUJARIBU WIKI HII!!!


Wakati mwingine si lazima kufanya mapenzi ili kujenga ukaribu na mpenzi wako. Unaweza kuviona kama vitu vidogo sana na labda vinaweza kutokuwa na umuhimu wowote, ila kumbuka ya kuwa kwenye mapenzi ni vile vidogo ndio viletavyo tofauti kubwa sana.

Mara nyingi wale wapenzi waliokaa muda mrefu pamoja hujikuta wakipuuzia vitu vya namna hii kwasababu wanahisi hawana haja ya kuvifanya, me ningeshauri mjaribu just for this week alafu muone wenyewe tofauti itakayojitokeza kwenye maisha yenu ya kimapenzi.





(1) Walk on the beach



Ni vyema kutafuta ufukwe ambao uko kimya na una mandhari nzuri inayo vutia ili kuspend time na mpenzi wako. Mjaribu kucheza kwa furaha, mkishare vinywaji na kuzikumbuka zile siku mlizoanza mapenzi yenu. Bila kusahau kupeana mabusu matamu matamu ili kutimiza haswa nia ya kuwa na a romantic walk on the beach.


(2) Trade nightly foot rubs



Ni rahisi, pia intimate na pia huleta hisia nzuri sana. Wakati mwingine mambo yanaweza yasiende vizuri pale mtu unaporudi umechoka na miguu inauma kutokana na pirika pirika za kutafuta maisha. Miguu kuuma kunaweza sababisha mtu ukashindwa hata kuenjoy usiku mzuri wa kimahaba. Mfanyie mpenzi wako massage ya miguu kwa kutumia mafuta mazuri na laini na yenye manukato mazuri na pia muombe na yeye akufanyie huku mkiongea mambo mazuri ya kimahaba au kukumbushiana zile siku mlizoenjoy kupita kiasi katika maisha yenu ya kimahaba. Inaweza tokea mkafanya zaidi ya foot rubs na kujikuta mnatengeneza kumbukumbu nyingine ya kimahaba.


(3) Sharing a bubble bath with an extra touch



Hii ni njia nzuri na bora ya kurelax baada ya siku iliojaa kazi ngumu( pia inaweza safisha njia kwa usiku uliojaa mahaba mazito) kwa kushare a romantic bubble bath. Maandalizi madogo tu yanahitajika, a short trip kwenye supermaket na kununua mishumaa yenye marashi pamoja na jell za kuogea nzuri ambazo zina marashi mazuri na ni special kwaajili ya bubble bathing. Kinachofuata hapo ni kuviandaa(unaweza ongezea roses kama hapo kwenye picha) na kushare na mpenzi wako huku mkiongelea mambo ya kimahaba na kushare vinywaji na vicheko pamoja.

(4) Prepare dinner for your lover


Kwanza ningependa kuwapa challenge wakinakaka cause najua wakinadada hili wanaweza kulifanya bila matatizo. Si lazima uwe mpishi mzuri, unaweza tu kuwa mpishi wa kawaida, ila, ile nia ya wewe kumuandalia mpenzi wako dinner yenye a very romantic setup inatosha kwake yeye kuappreciate effort yote ulioifanya na kuongeza ukaribu kati yenu.

Jitahidi na kupitia vitabu vya mapishi ili upate kile ambacho utaweza kukiandaa kwa urahisi, kisha, siku moja fanya maandalizi kwa kununua wine nzuri ambayo haitowalewesha na itakayoongeza utamu wa chakula utakachokiandaa, mishumaa na roses, pia andaa sehemu katika nyumba yenu ambayo unajua itakuwa ya muafaka na ipambe kwa mishumaa na roses na meza ya kulia chakula kwaajili ya watu wawili, hakikisha asilimia kubwa ya mwamnga itoke kwenye mishumaa iliyowashwa. Kinachofuata hakiitaji mimi kuelezea....


(5) Write a steamy love letter to your lover



Take your time kuweka mawazo yako kwenye hiyo barua kabla ya kuiwasilisha kwa mpenzi wako. Ifanye barua hiyo kuwa na muonekano wa kimahaba kadri ya uwezo wako. Elezea kwa kina na kwa ufafanuzi wa kimahaba vile vitu vyote vinavyokuvutia kutoka kwa mpenzi wako. 



Toa mapendekezo ya sehemu ya kukutana na mpenzi wako na elezea kile kitakachotokea kwa kimahaba zaidi. Hakikisha unakuwa muwazi kuhusu muda na tarehe ambayo unataka mkutane na mpenzi wako, pia hakikisha wote mtakuwa huru hiyo siku kwa kuspend time pamoja. 

Mwisho kabisa wa barua mweleweshe mpenzi wako kuwa asiongelee hili jambo matakapokuwa pamoja atakaporudi nyumbani au hata mkiwasiliana kwenye simu. Hii itasaidia kuongeza mzuka wa kimahaba na kumfanya aisubirie hiyo siku kwa hamu na pia itasaidia yeye kufanya juu chini kutoikosa hiyo siku.

Kwa kumalizai, ipulizie perfume yako uipendayo na ambayo unajua mpenzi wako ataitambua au unaweza kuifanyia chochote ambacho kitakutambulisha wewe pale mpenzi wako atakapoisoma. Unaweza kumpelekea wewe mwenyewe kama anafanya kazi karibu au kama amesafiri, wakati unamsaidia kupack mizigo yake iweke mahala ambapo ataweza kuiona kirahisi pale atakapofika kwenye safari yake.

Saturday, September 7, 2013

Zijue sababu zinazofanya wanawake wavae nusu uchi

Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo.

Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya biashara yao ya ngono.

Lakini kuna sababu KUU

Sababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao.

-Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa "japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri". Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia.

-Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa "japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine" ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe.


-Kuna kundi la mwisho wao huvaa nusu uchi kwa vile tu labla anaona rafiki zake wanavaa nguo fupi na wanaambizana wanapendeza. Mfano: binti yuko chuo na akaona wenzio wanavaa nguo fupi na kila mmoja wao akivaa nguo fupi anaambiwa "UMEPENDEZA" hakika hapo binti hujikuta anatafuta vijinguo vya ajabu ili afanane na wenzio "waliopendeza".

Watu hudhani kuwa mavazi huwasilisha tabia. Mfano binti akivaa nusu uchi basi huwa malaya, ukweli ni kuwa mabinti wengi huamini kwa kuvaa nusu uchi watakuwa wameficha udhaifu wao na watakuwa wametoa ujumbe kuwa "kama sina sura nina hiki kizuri".

Chukulia utafiti wa haraka mabinti wengi wenye makalio makubwa huwa na watu huamini wana sura mbaya, kwa kuonesha kuwa wao hawajakosa vyote huvaa suruali za kubana au sketi fupi ili "shughuli" ionekane nyuma.
ya wanawake wengi kuvaa nguo za nusu uchi.

Wanawake kujilinganisha na wanaume ni sign ya low self esteem

Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana shida na alivyoumbwa. Kuwa mfupi au mrefu, mweusi au mweupe, maskini au tajiri, mwanaume au mwanamke, si kitu kinaweza kumsumbua mtu yeyote ambaye self esteem yake iko vizuri. Unapoona una shida ya kujikubali au umbo lako, au jinsia yako au hali yako ya maisha ujue shida si hicho unachokiona bali shida iko ndani yako. Ndio maana unaona kuna matajiri wengi tu unaona hawajikubali wala kuridhika, wakati kuna mtu ana bajaj tu na anaenjoy maisha yake. Utaona kuna mtu ana nafasi yake kubwa tu kiajira, au kwenye siasa lakini hajawahi kuridhika. Mtu mwenye shida hii hata kumpa kutawala dunia ataona kuwa bado kuna kitu hakiko sawa. Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke.       Jifunze kujikubali ulivyo, na kujifurahia kutoka ndani ya nafsi yako, jifunze kuridhika na ulicho nacho kwa sasa(materials) ukiendelea kuongezea kidogo kidogo, na usijali sana mtazamo wa dunia juu yako, maana kuridhika kwa ukweli kunaanzia wewe mwenyewe unavyojiona.