Saturday, July 27, 2013

MIMBA HUPATIKANA VIPI ?



Ukitaka kuelewa jinsi mimba navyopatikana, lazima uelewemzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo(yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupatahedhimaramoja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini auzaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanzaya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanzakukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando wa damu ndani yamfuko wa uzazi huanza kujengeka ili ukaribishe mimba. Kati yasiku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafirikwenye mrija wa kupitisha mayai hadi mfuko wa uzazi.mayai,
Mwanamke anapata mimba kama yai litaungana na mbegu yakiume ndani ya mrija wa kupitisha mayai. Ina maanakwamba endapo atajamiiana kipindi cha siku chache kabla ya yai
kupevuka au siku yai linapopevuka na kutoka kwenye kokwa,linarutubishwa wakati linaelekea kwenye mji wa mimba, nalinapofika hapo kwenye mji wa mimba linatulia kwenye utando
wa mji wa mimba. Mtoto anahifadhiwa na kukua ndani ya mji wauzazi mpaka siku ya kuzaliwa.
Yai mmoja hupevuka siku 14kabla ya hedhi inayofuata. Baadaya yai kukomaa ndani ya kokwa laupande wa kulia au wa kushoto,yai husafirishwa kwenye mrija wakupitisha mayai mpaka kwenyemfuko wa uzazi.Yai likikutana na mbegu ya kiumendani ya mrija wa kupitishamayai siku zilezile, linawezaurutubishwa. Yaani, endapomwanamke anajamiana kipindi cha siku chache kabla yayai kupevuka au siku yai linapopevuka anaweza akapatamimba.Kwa sababuwasichana wengi hawapati hedhi ya kawaida, yaanimzunguko wa siku 28 katika kila mwezi, ni vigumu sana kwaokufahamu tarehe ya hedhi inayofuata. Hivyo ni vigumu kujualinilitakuwepo yai linalongojea kurutubishwa.Mzunguko wa hedhi kwa msichana unaweza kuathiriwa namfadhaiko, huzuni, safari au mabadiliko mengine katikamaisha ya msichana. Hata kama msichana ana mzunguko wakawaida wa hedhi, hali hiyo inaweza kubadilika ghafla na ukawasio wa kawaida. Wanawake wengi na hasa wasichana hawawezikutegemea kuhesabu siku kama njia ya kuzuiamimba, kwa sababu hawawezi kuwa na uhakika iwapo lipo yailinalongoja kurutubishwa au la. Hakuna siku salama zakuepukana na mimba!


JE WAWEZA KUPATA MIMBA WAKATI UMO NDAN I YA HEDHI ?????????
Ili mwanamke aweze kushika mimba, inabidi yai lililopevukalikutane na mbegu za kiume. Yai pevu linapokosa mbeguhufa na kwa vile utando kwenye tumbo la uzazi uliojiandaakupokea yai lililorutubishwa humomonyoka. Kwa pamoja, yaihuchanganyika na utando hutoka na damu kupitia ukeni na iledamu huitwa hedhi.Hedhi ni dalili, kwamba yai halikurutubishwa na hivyo
limeshakufa na kutoka. Kwa kawaida, wakati huo halitakuwepo yaijingine lililopevuka kuweza kurutubishwa na kwa hiyo uwezekanowa kupata mimba hautakuwepo. Lakini, mara chache kuna hitilafukatika mzunguko wa hedhi na yai jingine linakuwepo tayari kwakurutubishwa, hata ukiwa kwenye hedhi. Kwa hiyo uwezekano wakupata mmba wakati wa hedhi upo, hata kama ni mdogo.

JE MSICHANA ANAWEZA KUSHIKA MIMBA KABLA YA KUVUNJA UNGO (KUKUWA) ????????
yai kupevuka au siku yai linapopevuka anaweza akapatamimba.
Kwa sababu wasichana wengi hawapati hedhi ya kawaida, yaanimzunguko wa siku 28 katika kila mwezi, ni vigumu sana kwaokufahamu tarehe ya hedhi inayofuata. Hivyo ni vigumu kujua
lini litakuwepo yai linalongojea kurutubishwa.Mzunguko wa hedhi kwa msichana unaweza kuathiriwa namfadhaiko, huzuni, safari au mabadiliko mengine katikamaisha ya msichana. Hata kama msichana ana mzunguko wa kawaida wa hedhi, hali hiyo inaweza kubadilika ghafla na ukawa sio wa kawaida. Wanawake wengi na hasa wasichana hawawezikutegemea kuhesabu siku kama njia ya kuzuiamimba, kwa sababu hawawezi kuwa na uhakika iwapo lipo yailinalongoja kurutubishwa au la. Hakuna siku salama zakuepukana na mimba!

No comments:

Post a Comment