Sunday, July 28, 2013

NIME MJUA MWANAMKE ALIYEKUWA ANANIIBIA MUME WANGU

Naombeni msaada wa maawazo yenu, nimegundua kuna mwanamke anatembea na mume wangu, mume wangu alikataaaaaa kwa mara ya kwanza, lakini baada ya kufatilllia na kuchunguza kwa muda mrefu nikaja kuhakikisha ni kweli kabisa, mwanamke anaomba msamaha kwamba wataachana na hatorudia tenaa, na mume wangu pia anasema hatorudiaa,
Nimeumia sana mwenzenu, nimeumia kupita kias, kwakuwa nilimpenda, nilimheshimu, nilimjali sana mume wangu, nilikuwa teyari kumuachia yeye kila kilicho changu, nilimsikiliza sana, sikutegemea kama atakuja kunitenda hivi, imekia kipindi najuta kwanini niliolewa nay eye,  sikutegemea kabisa kutokana na muonekano alio nao,,, details zoote za huyo mwanamke wake niko nazo, niliomba niprintiwe kupitia mitandao ya simu wanayotumia, niko nazo mkononi, staki kuamini, ninalia kama mtoto mdogo, ni bora niibiwe pesa nitatafuta, kuliko kuibiwa penzi,, nitalipata wapi,,
Nimechanganyikiwa, nataka kuondoka kwenda kwetu nikapumzike, nimwache kwanza, maana kila nikimuona Napata hasira natamani kumkaba kabisa, nimemchukia mno,,, sina amani ya kuwa nay eye, hali hii hadi lini?? Nifanyaje?

Saturday, July 27, 2013

Mpenzi wa Kwanza

Habari zenu wadau
Kila Mtu Maishani kwake anaye mpenzi wake wa kwanza. Kuna walio na bahati ya kuwa na wapenzi wao wa mwanzo mpaka leo na wengine wapo katika ndoa zao. Mungu awape kila la kheri. Ila tupo wa kina sisi, tulishapendaga saana zamani, kwa bahati mbaya hatukurudishiwa upendo wa kiwango sawa na hao tuliowapenda kwa moyo woote, na leo tupo katika mahusiano mengine. Kuna uwezekano miongoni mwetu tumeshawasahau hao tulio wapenda kwani Mungu ameshatupa mahusiano mengine ambayo ni bora na matamu zaidi kiasi kwamba hatuna hata hamu ya kuyafikiria ya nyuma. Ila pia tupo katika sisi, japokuwa tupo katika mahusiano mengine, lakini kila siku tunawakumbuka wenza wetu wa awali, tunajutia katika nafsi zetu kwanini hatupo nao, na kama tutapewa nafasi ya kuomba kitu kwa Mungu na kukubaliwa basi leo hii tungeomba kuwa pamoja na wenza wetu, Wapenzi wetu wa Mara ya Kwanza.

Haimaanishi Mpenzi wa kwanza awe ni yule aliyemtua Bikira Mwanamke au aliyekuwa wa kwanza kufanya mapenzi na mwanamke, hapana, hapa namzungumzia Mpenzi yule ambaye aliuteka moyo wako wote, roho, akili na nafsi, yeye ndo akawa kila kitu kwako, bora usile yeye ale, yule aliyekufanya Chozi likakutoka kwa ajili yake, yule ambaye ukianza kuelezea ni jinsi gani una hisia kwake basi utamaliza vitabu na wino na bado ukawa na la kuzndika........

Kuna Kisa kimetokea maeneo fulani ambapo wamefumaniwa watu wazima wakifanya mapenzi katika nyumba ambayo haijakamilika ujenzi wake. Walipokamatwa na raia wema katika utetezi wao nimepata jambo la kutahadharisha. Jamaa alisema kwamba "Huyu mwanamke mimi ndio mwanaume wake wa kwanza, nnampenda ingawa kwa sasa ameolewa, ni muda mrefu hatujaonana, leo kama bahati nimekutana nae maeneo haya halafu sina hela ya kwenda "Guest" ndo maana tumeona tuje hapa tujienzi"

Hapa nikajiuliza, ingekuwa mimi au wewe ungefanyaje, mwenza wako kateleza au wewe mwenyewe ndo umeteleza hivyo? Ukweli ni kwamba Kama kweli tuliwapenda Wapenzi wetu wa Kwanza, inakuwa vigumu kuwagomea au kuwakatalia wanapokuwa na ushawishi juu yetu, hasa pale inapotokea tumepoteana kwa muda mrefu. Kwa vile tayari tupo katika mahusiano mengine, yatupasa tuwaheshimu wenza wetu tuliokuwa nao sasa kwani wameamua kuwaacha wote na kuwa na sisi, Tuwaheshimu, Tuwaonee Huruma na Tujiheshimu wenyewe. Pia tujitahidi kuwa mbali nao kadri na zaidi ya Uwezo Wetu.

sexiest photos







sexiest photo







MIMBA HUPATIKANA VIPI ?



Ukitaka kuelewa jinsi mimba navyopatikana, lazima uelewemzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo(yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupatahedhimaramoja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini auzaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanzaya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanzakukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando wa damu ndani yamfuko wa uzazi huanza kujengeka ili ukaribishe mimba. Kati yasiku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafirikwenye mrija wa kupitisha mayai hadi mfuko wa uzazi.mayai,
Mwanamke anapata mimba kama yai litaungana na mbegu yakiume ndani ya mrija wa kupitisha mayai. Ina maanakwamba endapo atajamiiana kipindi cha siku chache kabla ya yai
kupevuka au siku yai linapopevuka na kutoka kwenye kokwa,linarutubishwa wakati linaelekea kwenye mji wa mimba, nalinapofika hapo kwenye mji wa mimba linatulia kwenye utando
wa mji wa mimba. Mtoto anahifadhiwa na kukua ndani ya mji wauzazi mpaka siku ya kuzaliwa.
Yai mmoja hupevuka siku 14kabla ya hedhi inayofuata. Baadaya yai kukomaa ndani ya kokwa laupande wa kulia au wa kushoto,yai husafirishwa kwenye mrija wakupitisha mayai mpaka kwenyemfuko wa uzazi.Yai likikutana na mbegu ya kiumendani ya mrija wa kupitishamayai siku zilezile, linawezaurutubishwa. Yaani, endapomwanamke anajamiana kipindi cha siku chache kabla yayai kupevuka au siku yai linapopevuka anaweza akapatamimba.Kwa sababuwasichana wengi hawapati hedhi ya kawaida, yaanimzunguko wa siku 28 katika kila mwezi, ni vigumu sana kwaokufahamu tarehe ya hedhi inayofuata. Hivyo ni vigumu kujualinilitakuwepo yai linalongojea kurutubishwa.Mzunguko wa hedhi kwa msichana unaweza kuathiriwa namfadhaiko, huzuni, safari au mabadiliko mengine katikamaisha ya msichana. Hata kama msichana ana mzunguko wakawaida wa hedhi, hali hiyo inaweza kubadilika ghafla na ukawasio wa kawaida. Wanawake wengi na hasa wasichana hawawezikutegemea kuhesabu siku kama njia ya kuzuiamimba, kwa sababu hawawezi kuwa na uhakika iwapo lipo yailinalongoja kurutubishwa au la. Hakuna siku salama zakuepukana na mimba!


JE WAWEZA KUPATA MIMBA WAKATI UMO NDAN I YA HEDHI ?????????
Ili mwanamke aweze kushika mimba, inabidi yai lililopevukalikutane na mbegu za kiume. Yai pevu linapokosa mbeguhufa na kwa vile utando kwenye tumbo la uzazi uliojiandaakupokea yai lililorutubishwa humomonyoka. Kwa pamoja, yaihuchanganyika na utando hutoka na damu kupitia ukeni na iledamu huitwa hedhi.Hedhi ni dalili, kwamba yai halikurutubishwa na hivyo
limeshakufa na kutoka. Kwa kawaida, wakati huo halitakuwepo yaijingine lililopevuka kuweza kurutubishwa na kwa hiyo uwezekanowa kupata mimba hautakuwepo. Lakini, mara chache kuna hitilafukatika mzunguko wa hedhi na yai jingine linakuwepo tayari kwakurutubishwa, hata ukiwa kwenye hedhi. Kwa hiyo uwezekano wakupata mmba wakati wa hedhi upo, hata kama ni mdogo.

JE MSICHANA ANAWEZA KUSHIKA MIMBA KABLA YA KUVUNJA UNGO (KUKUWA) ????????
yai kupevuka au siku yai linapopevuka anaweza akapatamimba.
Kwa sababu wasichana wengi hawapati hedhi ya kawaida, yaanimzunguko wa siku 28 katika kila mwezi, ni vigumu sana kwaokufahamu tarehe ya hedhi inayofuata. Hivyo ni vigumu kujua
lini litakuwepo yai linalongojea kurutubishwa.Mzunguko wa hedhi kwa msichana unaweza kuathiriwa namfadhaiko, huzuni, safari au mabadiliko mengine katikamaisha ya msichana. Hata kama msichana ana mzunguko wa kawaida wa hedhi, hali hiyo inaweza kubadilika ghafla na ukawa sio wa kawaida. Wanawake wengi na hasa wasichana hawawezikutegemea kuhesabu siku kama njia ya kuzuiamimba, kwa sababu hawawezi kuwa na uhakika iwapo lipo yailinalongoja kurutubishwa au la. Hakuna siku salama zakuepukana na mimba!

Saturday, July 20, 2013

Mambo nane (8) ya kufanya baada ya tendo la ndoa.


Kuna mengi ya mambo ya kufanya baada ya ngono badala tu ya kwenda kulala. Guys, kama wewe ni grasping katika Mirija juu ya mambo ya kufanya baada ya ngono, mimi nimepata mwongozo wako wa kulia hapa! Sisi ni kwenda kuchunguza kila aina ya mambo mbalimbali kufanya ili baada ya kufanya ngono wewe kuungana na mpenzi wako kwamba mengi zaidi!
1. Cuddle
Hii ni kweli haki ya kiwango? cuddling na spooning baada ya ngono ni moja ya njia kubwa kwa basi mwanamke wako au hata mtu wako kwa kujua kwamba wewe upendo wao na kwamba wawili ni bora kushikamana sasa. Ni bora zaidi kuliko tu tu kugeuka juu na kuanguka usingizi haki?
2. Majadiliano
Moja ya mambo makubwa ya kufanya baada ya ngono ni majadiliano. Huwezi kuwa na majadiliano kuhusu ngono, heck, huna hata kuwa na kuzungumza kuhusu chochote kweli, tu akizungumza na kila mmoja anaweza kufufua moto na hata kuboresha mawasiliano yako. Mbona si majadiliano kuhusu baadhi ya fantasies kwamba unaweza kuwa au hata kuzungumza kuhusu maisha yako ya baadaye. Ni wakati kubwa ya kuleta muhimu - lakini bado mwanga moyo mada!
3. Reconnect
Inaunganisha upya yanaweza kutokea katika idadi yoyote ya njia. Inaweza kutokea kwa njia ya kuzungumza, kwa njia ya kugusa na hata tu kwa njia ya cuddling, lakini Inaunganisha upya kwamba mimi ni kuzungumza juu ni tu kuwekewa huko, staring katika mmoja kwa mwingine, labda wakinong'ona siri kidogo au kushirikiana ushahidi. Hii ni mara ya kwamba urafiki ni saa ni ya juu!
4. Kugusa moja Mwingine
Wakati wewe ni kujamiiana, wewe ni wazi kugusa, lakini moja ya mambo ya kufanya baada ya ngono inaweza kuwa ndogo tu, hila teasing kidogo kumgusa. kugusa mwanga kwa mkono mtu wako, kugusa kwa mkono wake, kugusa kupitia kwa nywele zake. Ni itabidi wote kuamsha hisia tena na ambaye anajua ambapo ambayo inaweza kusababisha wewe!
5. Jadili Mipango ya baadaye
Kuzungumza ni sehemu kubwa ya Inaunganisha upya na baada ya ngono, wewe unataka kuhakikisha kuwa wewe ni kuunganisha na mpenzi wako. Kujadili mambo kama maisha yako ya baadaye ni muhimu super! Labda unaweza kuzungumzia matumaini yako na ndoto na nini unafikiri unaweza kutaka kufanya katika siku zijazo.
6. Ota afterglow
Baada ya kuwa na ngono, kuna hisia tu na afterglow kwamba unaweza Bask in Ni moja ya hisia ya ajabu zaidi katika ulimwengu mzima wa kulia? Mbona si tu Bask katika hisia kwamba? Majadiliano kuhusu hilo kidogo, kuangalia kina ndani ya macho kila wengine - imani yangu, ni njia kuu ya kuunganisha na suala la kushangaza kwa kufanya ngono baada ya!
7. Kucheka
Jinsia haina kuwa wote kubwa, kwa kweli, unaweza kweli kuwa na kidogo ya furaha na hayo. Baada au hata wakati wa ngono, kwa nini kuwa na umri nzuri kucheka? Unaweza kuwaambia siri na utani na hata kuzungumza kuhusu baadhi ya mambo ambayo alifanya. Kucheka yote mbali! Ni itabidi kufanya wewe karibu na kujisikia vizuri juu ya kutokuwa na hivyo mbaya!
8. Kula katika Bed
Jinsia ni kazi nje haki? Wewe kuchoma heck ya mengi ya kalori na njia moja kurutubisha nishati ya mwili wako ni kula! Hivyo kwa nini kurekebisha mwenyewe mlo na kula na mpenzi wako baada ya ngono!
Ladies, ngono ni walidhani kuwa na furaha na inapaswa kuwa njia kwa ajili ya mpenzi wako na wewe kwa kweli kuungana na kuwa karibu na mtu mwingine. Hizi ni 8 yangu juu ya mambo, baada ya kufanya ngono wewe je? Je una orodha ya mambo ya kufanya baada ya ngono?

Monday, July 15, 2013

JE WAJUA


Mapenzi yanataka utundu, lakini si wote wanaojielimisha namna ya kuwafanya wapenzi wao wajione kuwa ni salama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao. Kushindwa kuwa na elimu hii, wanaume wengi wamejikua wakitumia ukali kuwatawala wake zao, jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya kimapenzi na hatimaye wapenzi huachana. Yafuatayo ni mambo muhimu ambayo wanawake hupenda watendewe na wapenzi wao...


KUTATULIWA MATATIZO YAO
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidika katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.

KUBEMBELEZWA
Wanawake hupenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni, wengi wao hawapendi kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.

KUWA NAMBA MOJA
Safari ya penzi la mwanamke haishii kwenye kumpata na kumiliki, kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya hapo.

Jambo la tatu ambalo wanawake wengi huhitaji ni kuwa namba moja au kupendwa. Wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya.

KURIDHISHWA KWENYE TENDO
Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa kiwango gani, ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako. Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika tendo hilo. Utundu unahitajika ili kumkata kiu ya penzi.

MAZUNGUMZO
\ Wanawake wanatajwa kuzungumza maneno 25,000 kwa siku, huku wanaume wakibaki na kiwango cha maneno 5,000 kwa siku, hii ikiwa na maana kuwa wanawake hupenda zaidi kujieleza walivyo mbele ya wengine.

Kwa msingi huo wakizuiwa wasiongee hujiona kama wanakosa nafasi muhimu ya kueleza mawazo yao. Kama una mpenzi wako mpe uhuru wa kuzungumza na kumsikiliza bila kumkatiza kwa ukali


Sunday, July 14, 2013

Mambo ayafanyao pale unapo mkuna vizuri.

Habari ndugu msomaji wa blog hii,natumaini unafurahia mada hizi za ki utu uzima ndani ya blog hii ya kijanja,leo naomba nikukumbushe tu baadhi ya mambo ayafanyayo mwanamke pale unapo mkuna vizuri muwapo faragha.
1.Kufinya shuka kwa nguvu
Kufinya shuka au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo ni ishara mojawapo ya kuonyesha kwamba inamkuna vizuri.

2.Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya:
Hii pia no moja kati ya ishara nyimgi anazoonyesha mwanamke pindi anapo tombwa vizuri.

3.Kutokwa na jasho ndani ya sekunde chache:
Ukiona anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ua kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na unamridhisha.

Acha niishie hapo kwa leo, lakini sina maana kwamba kama mwanamke wako haonyeshi moja kati ya ishara hizo au zote basi ndio inamaanisha haumridhishi, hapana. Hizi ni baadhi tu, zipo nyingi tu.

          

UTAGUNDUAJE KAMA UNA MIMBA CHANGA?


Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una mimba katika siku za mwanzoni ambazo ni kuanzia siku ya 18 toka mimba itungwe.

Dalili hizi zinatofautiana kwa kila mtu, wapo ambao wanaweza kuzipata zote na ambao hupata baadhi tu ya dalili hizi na pia wapo ambao hawazipati kabisa.

Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na:

1.JOTO LA MWILI KUPANDA.(basal body temperature stay high)

Wanawake wengi hushindwa kutambua dalili hii pale wanapoipata kutokana na kutokuwa na uelewa
juu ya miili yao.
Hali hii inaonekana katika siku za mwanzo ambambo huweza kudumu kwa muda mrefu kiasi hivyo
kama itadumu zaidi ya siku 18 basi ni vizuri kupima ili kujua kama inatokana na ujauzito au la.

2. KUPATA HAJA NDOGO MARA KWA MARA.(frequent urination)
Kubanwa na haja ndogo mara kwa mara pia inaweza ikawa ni dalili mojawapo ya kuwa na mimba
changa.

3.KUWA MWEPESI KUHISI HARAFU YA VITU MBALI MBALI HASA HARUFU MBAYA.(sensitivity to odors)
Wakati wa mimba changa wanawake wengi wanakuwa wepesi wa kuhisi harufu ya vitu mbali mbali hasa zile harufu zisizo za kupendeza na kumfanya achukie vitu vingi vyenye kutoa harufu hizo.
wakati kama huu si ajabu ukaona mtu hataki mume wake amsogelee kwa kudai anatoa harufu mbaya.
ukiona dalili kama hii inaweza ikawa ni ishara ya kuwa mjamzito hivyo unapaswa kufanya uchunguzi.

4.KUKOSA HEDHI.(missed period)
Kwa kawaida mama mjamzito hapati siku zake za hedhi isipokua anaweza akapatwa na hali ya kuvuja kunakofanana na ile ya hedhi ila damu yake huwa nyepesi sana na hudumu kwa muda mfupi kati ya siku1 au 2 (implantation bleeding) hivyo unapokosa kuona siku zako za hedhi
unapaswa kuchunguza sababu za kukosekana kwa hedhi.

5. KICHEFU CHEFU AU KUTAPIKA.